June 20, 2021
0 Comments
DUA ANAYOOMBA MWENYE KUMUONA KILEMA
[ الحمد لله الذي عافاني مما ابتلاك به ، وفضلني على كثير ممن خلق تفضيلاً ]
الترمذي 5/494
[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambaye ameniepusha na kile alichokupa mtihani na akanifanya mimi kuwa bora kuliko wengi miongoni mwa aliowaumba.] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]
DUA ANAYOOMBA MWENYE KUMUONA KILEMA