0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

790. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sifa Ya Urefu Wa Kanzu, Mkono (Wa Kanzu Kikoi Na Ncha Ya Kilemba Na Uharamu Wa Kuburuta Sehemu Katika Mavazi…

باب صفة طول القميص والكم والإزار وطرف العمامة وتحريم إسبال شيء من ذلك على سبيل الخيلاء وكراهته من غير خيلاء


عن ابن عمر -رضى الله عنهما- أن النبي ﷺ قال: من جر ثوبه خيلاء لم ينظر الله إليه يوم القيامة، فقال أبو بكر: يا رسول الله، إن إزاري يسترخي إلا أن أتعاهده، فقال له رسول الله ﷺ: إنك لست ممن يفعله خيلاء   رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


119. MLANGO WA SIFA YA UREFU WA KANZU, MKONO (WA KANZU), KIKOI NA NCHA YA KILEMBA NA UHARAMU WA KUBURUTA SEHEMU KATIKA MAVAZI HAYO KWA KUFANYA KIBRI, NA KARAHA YA KUFANYA HIVYO IKIWA SI KWA KIBRI


Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume amesema: “Mwenye kuburuta nguo yake kwa kibri, Allâh Hatamtazama Siku ya Qiyama.” Abûbakar akasema: “Yâ Rasûlallâh, Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu kikoi changu kinateremka ila ninapokikaza.” Mtume akamwambia: “Wewe si katika wanaofanya hivyo kwa kibri.”  [ Imepokewa na Bukhârî.]


Begin typing your search above and press return to search.