0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

119. MLANGO WA SIFA YA UREFU WA KANZU, MKONO (WA KANZU), KIKOI NA NCHA YA KILEMBA NA UHARAMU WA KUBURUTA SEHEMU KATIKA MAVAZI HAYO KWA KUFANYA KIBRI, NA KARAHA YA KUFANYA HIVYO IKIWA SI KWA KIBRI

باب صفة طول القميص والكم والإزار وطرف العمامة وتحريم إسبال شيء من ذلك على سبيل الخيلاء وكراهته من غير خيلاء

عن أسماء بنت يزيد الأنصارية -رضى الله عنها- قالت: “كان كُم قميص رسول الله ﷺ إلى الرسغ”.  رواه أبو داود والترمذي، وقال: حديث حسن

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى

119. MLANGO WA SIFA YA UREFU WA KANZU, MKONO (WA KANZU), KIKOI NA NCHA YA KILEMBA NA UHARAMU WA KUBURUTA SEHEMU KATIKA MAVAZI HAYO KWA KUFANYA KIBRI, NA KARAHA YA KUFANYA HIVYO IKIWA SI KWA KIBRI

Imepokewa na Asmâ binti Yazîd al-Ansâriyyah (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Ilikuwa mkono wa kanzu ya Mtume ﷺ ikifikia katika kifundo cha mkono.”  [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]

Begin typing your search above and press return to search.