0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

780. Riyadhu Swalihina Mlango Wa  Sunna Ya Kuvaa Nguo Nyeupe Na Kujuzu Kuvaa Nguo Nyekundu Kijani Manjano Na Nyeusi Na Inajuzu Nguo Ya Pamba,Kitani….

باب استحباب الثوب الأبيض، وجواز الأحمر والأخضر والأصفر والأسود، وجوازه من قطن وكتان وشعر وصوف وغيرها إِلاَّ الحرير


وعن البراءِ – رضي الله عنه -، قَالَ: كَانَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – مَرْبُوعاً، وَلَقَدْ رَأيْتُهُ في حُلَّةٍ حَمْرَاءَ مَا رَأيْتُ شَيْئاً قَطُّ أحْسَنَ مِنْهُ.    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Al-Barâ bin ‘Âzib (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume  ﷺ alikuwa ni mtu wa kati na kati, hakika nilimuona amevaa vazi jekundu, katu sijakionapo kitu kilicho kizuri kumliko yeye.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.