0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

779. Riyadhu Swalihina Mlango Wa  Sunna Ya Kuvaa Nguo Nyeupe Na Kujuzu Kuvaa Nguo Nyekundu Kijani Manjano Na Nyeusi Na Inajuzu Nguo Ya Pamba,Kitani….

باب استحباب الثوب الأبيض، وجواز الأحمر والأخضر والأصفر والأسود، وجوازه من قطن وكتان وشعر وصوف وغيرها إِلاَّ الحرير


وعن سَمُرَة – رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { الْبَسُوا البَيَاضَ؛ فَإنَّهَا أطْهَرُ وَأطْيَبُ، وَكَفِّنُوا فِيهَا مَوْتَاكُمْ}    رواه النسائي والحاكم، وقال: {حديث صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Samura bin Jundub (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Vaeni nguo nyeupe, kwani nguo hizo ni nadhifu zaidi na ni nzuri zaidi na muwakafini maiti wenu katika nguo hizo.”   [ Imepokewa na An-Nasâ-î na al-Hâkim na amesema: Hadîth hii ni Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.