0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

78 DUA YA KUPIGA CHAFYA (KUCHEMUA)

DUA YA KUPIGA CHAFYA (KUCHEMUA)

Akichemua mmoja wenu aseme:

[ الحمد لله ]

[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu.]

Mwenzake amwambie:

 [ يرحمك الله ]

[Mwenyezi Mungu akurehemu.]

Kisha naye amjibu:

[ يهديكم الله ويصلح بالكم ]

[Akuongoze Mwenyezi Mungu  na akutengenezee mambo yako.]       [Imepokewa na Bukhari.]

DUA YA KUPIGA CHAFYA (KUCHEMUA)

 

 

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.