0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

77 DUA YA KUOMBA UNAPOONA MATUNDA YANACHIPUA KWENYE MITI

KINGA YA MUISLAMU

[اللهم بارك لنا في ثمرنا ، وبارك لنا في مدينتنا وبارك لنا في صاعنا ، وبارك لنا في مدنا]

مسلم 2/1000

[Ewe Mwenyezi Mungu tubarikie matunda yetu, na tubarikie mji wetu, na tubarikie pishi (Swaa) yetu na tubarikie kibaba (Mudd) chetu.]      [Imepokewa na Muslim.]

SIKILIZA DUA HII HAPA

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.