0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

75 DUA YA ALIYEALIKWA CHAKULA LAKINI AKAWA AMEFUNGA

DUA YA ALIYEALIKWA CHAKULA LAKINI AKAWA AMEFUNGA

Amesema Mtume ﷺ:

إذا دُعي أحدكم فليجب ، فإن كان صائماً فليصل وإن كان مفطراً فليطعم “[1] ومعنى فليصل أي فليدع

 مسلم 2/1054

[Akialikwa mmoja wenu aitike mwito, akiwa amefunga basi awaombee dua na kama hakufunga basi ale.]       [Imepokewa na Muslim.]

 

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.