0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

74 DUA YA KUMUOMBEA ULIYE FUTURU KWAKE

DUA YA KUMUOMBEA ULIYE FUTURU KWAKE

[ أَفطَر عِنْدَكُم الصائِمونَ ، وأكل طعامَكُمُ الأبْرارُ ، وصلت عليكُمُ الملائِكَةُ ]

سنن أبي داود 3/367، وابن ماجه 1/556 ،والنسائي

[Wafuturu kwenu waliofunga na wale chakula chenu watu wema, na wawaombee rehema malaika.]     [Imepokewa na Abuu Daud, na Ibnu Maajah,na Al-Nnasai.]

SIKILIZA DUA YA KUMUOMBEA ULIYE FUTURU KWAKE

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.