0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

67 DUA YA KUTAKA MVUA IONDOKE (WAKATI ITAKAPOLETA MADHARA)

DUA YA KUTAKA MVUA IONDOKE (WAKATI ITAKAPOLETA MADHARA)


[اللهم حوالينا ولا علينا ، اللهم على الآكامِ والظرابِ وبُطون الأودية ، ومنابت الشجر]

البخاري 1/224 ،مسلم 2/614

[Ewe Mwenyezi Mungu, inyesheleze kwetu wala isiwe yenye kutuangamiza.  Ewe Mwenyezi Mungu inyesheleze kwenye vichaka na milima na mabonde na kwenye mizizi ya miti.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]


DUA YA KUTAKA MVUA IONDOKE (WAKATI ITAKAPOLETA MADHARA)


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.