June 20, 2021
0 Comments
KINGA YA MUISLAMU
Alikuwa Abdallaah Bin Zubair radhi za Allah ziwe juu yake akisikia radi basi huacha mazungumzo badala yake husema:
[ سبحان الذي يُسبح الرعد بحمده والملائكة من خيفته ]
[Ametakasika yule ambae radi zinamtakasa kwa sifa zake na malaika pia kwa kumuogopa] [Imepokewa na Imam Malik katika Al-Muwatwa’a]
SIKILIZA DUA YA RADI