August 3, 2023
0 Comments
باب حسن الخلق
وعن النَّوَاس بنِ سمعان – رضي الله عنه -، قَالَ: سألتُ رسولَ الله – صلى الله عليه وسلم – عن البِرِّ وَالإثم، فَقَالَ: { البِرُّ: حُسنُ الخُلقِ، والإثمُ: مَا حاك في صدرِك، وكَرِهْتَ أن يَطَّلِعَ عَلَيْهِ النَّاسُ} رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa An-Nawwâs bin Sam‘ân (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Nilimwuliza Mtume ﷺ kuhusu wema na dhambi, akasema: “Wema ni tabia njema, na dhambi ni inayotia shaka katika nafsi yako na ukachukia watu wasije wakaijua.” [ Imepokewa na Muslim ]