0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

58 DUA YA KUMTAAZI ALIYEFILIWA

KINGA YA MUISLAMU

إن لله ما أخذ وله ما أعطى . وكل شيء عنده بأجل مُسمى …فلتصبر ولتحتسب

 البخاري 2/80 ومسلم 2/636

[Kwa hakika ni Chake Mwenyezi Mungu Alichokichukua, na ni chake Alichokitoa, na kila kitu Kwake kina muda maalum]

(…….kisha Mtume ﷺ akimwambia:)  “basi vumilia na taka malipo kwa Allaah” ]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

na akisema:

[ أعظم الله أجرك ، وأحسن عزاءك وغفر لميتك ]

[Ayafanye mengi Allaah malipo yako, na Akufanye kuzuri kutaaziwa (kuhaniwa) kwako na Amsamehe maiti wako.]

…basi ni bora         [Tazama Al-Adhkaar ya Imam Al-Nnawawiy]

DUA YA KUMTAAZI ALIYEFILIWA

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.