0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

50 DUA YA KUMTEMBELEA MGONJWA

KINGA YA MUISLAMU

Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ anapoingia kumzuru mgonjwa  akimwambia

[ لا بأس طهور إن شاء الله ]

[Hakuna neno, (ugonjwa) ni kusafishwa (na madhambi) anapopenda Mwenyezi Mungu. ]    [Imepokewa na Bukhari.]  

Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: Hapana mja yeyote muislamu anaemtembelea mjongwa ambae wakati wake wa kufa bado haujafika na akamuombea mara saba

[ أسأل الله العظيم رب العرش العظيم أن يشفيك ]

[Namuomba Mwenyezi Mungu  Mtukufu Mola wa Arshi tukufu (akuponyeshe)]

Isipokuwa Mwenyezi Mungu  humponyesha mgonjwa huyo.   [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Abuu Daud.]


DUA YA KUMTEMBELEA MGONJWA


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.