0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

49 DUA INAYO KINGWA NAYO WATOTO.

KINGA YA MUISLAMU

Imepokelewa  na Ibn Abbas amesema  alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu  akiwakinga wajukuu wake (Hassan na Hussein) akisema :

[ أعيذكما بكلمات الله التامة ، من كل شيطان وهامة ، ومن كل عينِ لامة ]

[Nawakinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu  yaliyotimia awakinge kutokana na kila shetani na uvamizi na kila jicho lenye kudhuru.]      [Imepokewa na Bukhari.]

DUA INAYO KINGWA NAYO WATOTO

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.