0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

472. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن النعمان بن بشير – رضي الله عنهما -، قَالَ: ذَكَرَ عُمَرُ بْنُ الخَطَّابِ – رضي الله عنه -، مَا أَصَابَ النَّاسُ مِنَ الدُّنْيَا، فَقَالَ: لَقَدْ رَأيْتُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – يَظَلُّ الْيَوْمَ يَلْتَوِي مَا يَجِدُ مِنَ الدَّقَلِ مَا يَمْلأ بِهِ بَطْنَهُ.    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka An-Nu’mân bin Bashîr (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “‘Umar bin al-Khattâb (Radhi za Allah ziwe juu yake) alizungumzia jinsi watu walivyopata shida katika dunia. Akasema: “Nilimuona Mtume ﷺ akishinda akijikunja kwa njaa, hapati hata tende mbaya inayoweza kujaza tumbo lake.”     [ Imepokewa na Muslim .]


Begin typing your search above and press return to search.