0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

427. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


وعن البراءِ بن عازب – رضي الله عنهما -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {المُسْلِمُ إِذَا سُئِلَ في القَبْرِ يَشْهَدُ أنْ لاَ إلَهَ إلاَّ الله، وَأنّ مُحَمّداً رَسُول الله، فذلك قوله تَعَالَى: ﴿يُثَبِّتُ اللهُ الَّذِينَ آمَنُوا بِالْقَوْلِ الثَّابِتِ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَفِي الآخِرَة﴾ [ إبراهيم: 27 ]}   مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Al-Barâ bin ‘Âzib (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume  ﷺ  amesema: [ Muislamu atakapoulizwa kaburini, yeye atashuhudia kuwa hakuna anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa Allâh na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allâh. Hiyo ndio maana ya Kauli Yake Allâh Isemayo: “Allâh Huwathibitisha wenye kuamini kwa kauli thabiti katika maisha ya dunia na katika Akhera.]    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.