0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

426. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


 وعن معاذ بن جبل – رضي الله عنه -، قَالَ: كُنْتُ رِدْفَ النَّبيِّ – صلى الله عليه وسلم – عَلَى حِمَارٍ، فَقَالَ: {يَا مُعَاذُ، هَلْ تَدْرِي مَا حَقُّ الله عَلَى عِبَادِهِ؟ وَمَا حَقُّ العِبَادِ عَلَى الله؟} قُلْتُ: اللهُ وَرَسُولُهُ أعْلَمُ. قَالَ: {فإنَّ حَقَّ اللهِ عَلَى العِبَادِ أنْ يَعْبُدُوهُ، وَلاَ يُشْرِكُوا بِهِ شَيئاً، وَحَقَّ العِبَادِ عَلَى اللهِ أنْ لاَ يُعَذِّبَ مَنْ لا يُشْرِكُ بِهِ شَيئاً} فقلتُ: يَا رَسُول الله، أفَلا أُبَشِّرُ النَّاسَ؟ قَالَ: {لاَ تُبَشِّرْهُمْ فَيَتَّكِلُوا}     مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Mu‘âdh bin Jabal (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Nilikuwa nimepanda nyuma ya Mtume  ﷺ juu ya punda, akaniambia: “Ee Mu‘âdh, je unajua ni ipi haki ya Allâh juu ya waja Wake, na ni ipi haki ya waja kwa Allâh?” Nikamjibu: “Allâh na Mtume Wake wanajua.” Akasema: “Haki ya Allâh juu ya waja Wake ni wamuabudu wala wasimshirikishe kwa chochote, na haki ya waja kwa Allâh ni (Yeye Allâh) Asimuadhibu ambaye hamshirikishi kwa chochote.” Nikamwambia: “Yâ Rasûlallâh, (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) niwabashirie watu?” Akaniambia: [ Usiwabashirie kwani wataacha kufanya amali.]    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.