March 20, 2023        
        
            
            0 Comments        
    
باب الرجاء
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {لَمَّا خَلَقَ الله الخَلْقَ كَتَبَ في كِتَابٍ، فَهُوَ عِنْدَهُ فَوقَ العَرْشِ: إنَّ رَحْمَتِي تَغْلِبُ غَضَبي}
وفي رواية: {غَلَبَتْ غَضَبي} وفي رواية: {سَبَقَتْ غَضَبي} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume  ﷺ amesema: “Allâh Alipomaliza kuumba viumbe, Aliandika katika Kitabu, kitabu hicho kiko Kwake juu ya ‘Arshi: “Hakika rehema Zangu zinashinda ghadhabu Yangu.”
Riwaya nyingine imesema: “…imeshinda ghadhabu Yangu.”
Riwaya nyingine tena imesema: “…imetangulia ghadhabu Zangu.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]