March 14, 2023
0 Comments
باب الرجاء
وعن جابر – رضي الله عنه -، قَالَ: جاء أعرابي إِلَى النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالَ: يَا رَسُول الله، مَا الموجِبَتَانِ ؟ قَالَ: {مَنْ مَاتَ لاَ يُشْرِكُ بالله شَيئاً دَخَلَ الجَنَّةَ، وَمَنْ مَاتَ يُشْرِكُ بِهِ شَيْئاً دَخَلَ النَّار} رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Alikuja mbedui hadi kwa Mtume ﷺ, akamwuliza: “Yâ Rasûlallâh, (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) ni jambo gani linalompasisha mtu kuingia Peponi na kumuingiza motoni?” Akamjibu: [ Atakayekufa ilihali hamshirikishi Allâh kwa chochote, ataingia Peponi. Na atakayekufa ilihali anamshirikisha Allâh kwa chochote, ataingia motoni. ] [ Imepokewa na Muslim.]