0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

412. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


وعن عبادة بن الصامتِ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {مَنْ شَهِدَ أنَّ لا إلهَ إلاَّ اللهُ وَحْدَهُ لا شَرِيكَ لَهُ، وَأنَّ مُحَمداً عَبْدهُ ورَسُولُهُ، وَأنَّ عِيسى عَبْدُ اللهِ وَرَسُولُهُ وَكَلِمَتُهُ ألْقَاهَا إِلَى مَرْيَمَ ورُوحٌ مِنْهُ، وَأنَّ الجَنَّةَ حَقٌّ، وَالنَّارَ حَقٌّ، أدْخَلَهُ اللهُ الجَنَّةَ عَلَى مَا كَانَ مِنَ العَمَلِ}   مُتَّفَقٌ عَلَيهِ

وفي رواية لمسلم: {مَنْ شَهِدَ أنْ لا إلَهَ إلاَّ اللهُ وَأنَّ مُحَمَّداً رَسُولُ اللهِ، حَرَّمَ اللهُ عَلَيهِ النَّارَ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Ubâdah bin as-Sâmit (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ  amesema: [ Mwenye kushuhudia kuwa hakuna mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa Allâh Peke Yake Hana mshirika, na kuwa Muhammad ni mja Wake na ni Mtume Wake, na kwamba Îsâ ni mja wa Allâh, ni Mtume Wake na ni Neno Lake Alilompelekea Maryam, na ni roho iliotoka Kwake, Pepo ni haki na moto ni haki, Allâh Atamuingiza Peponi kwa amali yoyote ]  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.