0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

51. MLANGO WA KUTARAJI (REHEMA ZA MWENYEZI MUNGU)

باب الرجاء


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿قُلْ يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَى أَنْفُسِهِمْ لا تَقْنَطُوا مِنْ رَحْمَةِ اللهِ إِنَّ اللهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعاً إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ﴾ [ الزمر: 53 ]

وَقالَ تَعَالَى: ﴿ وَهَلْ نُجَازِي إِلاَّ الْكَفُور﴾ [ سـبأ: 17 ]

وَقالَ تَعَالَى: ﴿إِنَّا قَدْ أُوحِيَ إِلَيْنَا أَنَّ الْعَذَابَ عَلَى مَنْ كَذَّبَ وَتَوَلَّى﴾ [ طـه: 48 ]

وَقالَ تَعَالَى:  ﴿وَرَحْمَتِي وَسِعَتْ كُلَّ شَيْءٍ﴾ [ الأعراف: 156 ]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



51 MLANGO: KUTARAJI (REHMA ZA MWENYEZI MUNGU)


Mwenyezi Mungu Amesema:

[Sema: Enyi waja Wangu waliojidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Allâh. Hakika Allâh Husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.]  [39: 53]

Mwenyezi Mungu Amesema:

[Nasi kwani Hatumwadhibu isipokuwa anayekufuru.]  [34: 17].

Mwenyezi Mungu Amesema:

[ Nabii Mûsâ na Haruni wakasema:) Hakika tumefunuliwa sisi kwamba hapana shaka adhabu itamsibu anayekadhibisha na akapuuza.”]  [20: 48].

Mwenyezi Mungu Amesema:

[ Na rehema Yangu imeenea kila kitu.] [7: 156].


Begin typing your search above and press return to search.