0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

409. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumuogopa Mwenyezi Mungu.

 باب الخوف


وعن أَبي سعيد الخدري – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {كَيْفَ أنْعَمُ ! وَصَاحِبُ القَرْنِ قَدِ التَقَمَ القَرْنَ، وَاسْتَمَعَ الإذْنَ مَتَى يُؤمَرُ بالنَّفْخِ فَيَنْفُخُ} فَكَأنَّ ذلِكَ ثَقُلَ عَلَى أصْحَابِ رسولِ الله – صلى الله عليه وسلم – فَقَالَ لَهُمْ: {قُولُوا: حَسْبُنَا الله وَنِعْمَ الوَكِيلُ}    رواه الترمذي، وَقالَ: {حديث حسنٌ}

{القَرْنُ}: هُوَ الصُّورُ الَّذِي قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَنُفِخَ في الصُّورِ﴾ كذا فسَّره رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Saîd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: [ Nitayafurahia vipi maisha ilihali mshika parapanda ameshaiweka parapanda mdomoni na anasikiliza idhini ni wakati gani ataamrishwa kuipuliza aipulize! ] Neno hili kanakwamba lilikuwa zito kwa Maswahaba wa Mtume ﷺ, akawaambia: “Semeni: [Hasbunallâhu wani’malwakîl,” [Allâh Anatutosha (Atatukifia). Naye ni Mlinzi Bora kabisa].[ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.