0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

408. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumuogopa Mwenyezi Mungu.

 باب الخوف


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قرأ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: ﴿يَوْمَئِذٍ تُحَدِّثُ أَخْبَارَهَا﴾ [ الزلزلة: 4 ] ثُمَّ قَالَ: {أتَدْرونَ مَا أخْبَارهَا}؟ قالوا: الله وَرَسُولُهُ أعْلَمُ. قَالَ: {فإنَّ أخْبَارَهَا أنْ تَشْهَدَ عَلَى كُلّ عَبْدٍ أَوْ أمَةٍ بما عَمِلَ عَلَى ظَهْرِهَا تَقُولُ: عَملْتَ كَذَا وكَذَا في يَومِ كَذَا وكَذَا فَهذِهِ أخْبَارُهَا}     رواه الترمذي، وَقالَ: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ alisoma Aya hii: “Siku hiyo (ardhi) itatoa habari zake (zote).” Kisha akauliza: “Mnajua itatoaje habari zake?” Maswahaba wakajibu: Allâh na Mtume Wake Wanajua. Akawaambia: Hakika kutoa habari zake ni kumshuhudia juu ya kila mja na mjakazi (mume na mke) kwa alilotenda juu ya mgongo wake, itasema: “Ulitenda kadha wa kadha siku kadha wa kadha”, huku ndiko kutoa habari zake.  [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.