0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

40. MLANGO WA KUWAFANYIA WEMA WAZAZI NA KUUNGA KIZAZI (UNDUGU)


 باب بر الوالدين وصلة الأرحام


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَاعْبُدُوا اللهَ وَلا تُشْرِكُوا بِهِ شَيْئاً وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَاناً وَبِذِي الْقُرْبَى وَالْيَتَامَى وَالْمَسَاكِينِ وَالْجَارِ ذِي الْقُرْبَى وَالْجَارِ الْجُنُبِ وَالصَّاحِبِ بِالْجَنْبِ وَابْنِ السَّبِيلِ وَمَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ﴾ [ النساء: 36 ]

وَقالَ تَعَالَى: ﴿وَاتَّقُوا اللهَ الَّذِي تَسَاءلُونَ بِهِ وَالأَرْحَام﴾ [ النساء: 1 ]

وَقالَ تَعَالَى: ﴿وَالَّذِينَ يَصِلُونَ مَا أَمَرَ اللهُ بِهِ أَنْ يُوصَلَ﴾ [ الرعد: 21 ]

وَقالَ تَعَالَى: ﴿وَوَصَّيْنَا الأِنْسَانَ بِوَالِدَيْهِ حُسْناً﴾ [ العنكبوت: 8 ]

وَقالَ تَعَالَى: ﴿وَقَضَى رَبُّكَ أَلاَّ تَعْبُدُوا إِلاَّ إِيَّاهُ وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَاناً إِمَّا يَبْلُغَنَّ عِنْدَكَ الْكِبَرَ أَحَدُهُمَا أَوْ كِلاهُمَا فَلا تَقُلْ لَهُمَا أُفٍّ وَلا تَنْهَرْهُمَا وَقُلْ لَهُمَا قَوْلاً كَرِيماً وَاخْفِضْ لَهُمَا جَنَاحَ الذُّلِّ مِنَ الرَّحْمَةِ وَقُلْ رَبِّ ارْحَمْهُمَا كَمَا رَبَّيَانِي صَغِيراً﴾ [ الإسراء: 23 – 24 ]

وَقالَ تَعَالَى: ﴿وَوَصَّيْنَا الأِنْسَانَ بِوَالِدَيْهِ حَمَلَتْهُ أُمُّهُ وَهْناً عَلَى وَهْنٍ وَفِصَالُهُ فِي عَامَيْنِ أَنِ اشْكُرْ لِي وَلِوَالِدَيْك﴾ [ لقمان: 14 ].


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



MLANGO WA KUWAFANYIA WEMA WAZAZI NA KUUNGA KIZAZI (UNDUGU/UHUSIANO)


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na waamrisMuabuduni Mwenyezi Mungu wala msimshirikishe na chochote. Na wafanyieni wema wazazi wawili na jamaa na mayatima na masikini na jirani wa karibu na jirani wa mbali, na rafiki wa ubavuni na mpita njia, na walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. he watu wako kuswali, na uendelee mwenyewe kwa hayo. ]        [Surat An Nisaa: 36]  

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu.  ]        [Surat At-An-Nisaai: 1]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na wale ambao huyaunga aliyo amrisha Mwenyezi Mungu yaungwe, ]        [Surat At-Arra’d: 21]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na tumemuusia mwanaadamu kuwafanyia wema wazazi wake.  ]        [Surat Al-Ankabut: 8]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na Mola wako Mlezi ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: Ah! Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa hishima. Na uwainamishie bawa la unyenyekevu kwa kuwaonea huruma. Na useme: Mola wangu Mlezi! Warehemu kama walivyo nilea utotoni. ]        [Surat Al-Isra: 23-24]


Begin typing your search above and press return to search.