0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

312. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuwafanyia wema Wazazi na Kuunga Kizazi (Undugu)

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


وعن أَبي عبد الرحمان عبد الله بن مسعود – رضي الله عنه -، قَالَ: سألت      النبي – صلى الله عليه وسلم -: أيُّ العَمَلِ أحَبُّ إِلَى اللهِ تَعَالَى؟ قَالَ: {الصَّلاةُ عَلَى وَقْتِهَا}، قُلْتُ: ثُمَّ أي؟ قَالَ: {بِرُّ الوَالِدَيْنِ}، قُلْتُ: ثُمَّ أيٌّ؟ قَالَ: {الجِهَادُ في سبيلِ الله}  مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû ‘Abdirrahmân, ‘Abdullâh bin Mas‘ûd Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Nilimwuliza Mtume : “Ni amali gani inayopendeza zaidi kwa Allâh? Akajibu: [Ni kuswali kwa wakati wake.] Nikamwuliza tena: Kisha ni amali gani? Akajibu: [Ni kuwafanyia hisani wazazi. ] Nikamwuliza tena: Kisha ni amali gani? Akajibu: [Ni kupigana Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu.]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.