0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

386. Riyadhu Swalihina Mlango wa Alama za Allah kupenda mja, Mahimizo kuwa na Tabia aipendao Allah..

باب علامات حب الله تَعَالَى للعبد والحث عَلَى التخلق بِهَا والسعي في تحصيلها


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {إنَّ الله تَعَالَى قَالَ: مَنْ عَادَى ليَ وَلِيّاً، فَقَدْ آذَنْتُهُ بِالحَرْبِ، وَمَا تَقَرَّبَ إِلَيَّ عَبْدِي بِشَيءٍ أَحَبَّ إِلَيَّ مِمَّا افْتَرَضْتُ عَلَيهِ، وَمَا يَزالُ عَبْدِي يَتَقَرَّبُ إِلَيَّ بِالنَّوَافِلِ حَتَّى أُحِبَّهُ، فَإِذَا أحْبَبْتُهُ، كُنْتُ سَمْعَهُ الَّذِي يَسْمَعُ بِهِ، وَبَصَرَهُ الَّذِي يُبْصِرُ بِهِ، ويَدَهُ الَّتي يَبْطِشُ بِهَا، وَرجْلَهُ الَّتِي يَمْشِي بِهَا وَإنْ سَألَنِي أعْطَيْتُهُ، وَلَئِن اسْتَعَاذَنِي لأعِيذَنَّهُ}      رواه البخاري

معنى {آذنته}: أعلمته بأني محارِب لَهُ. وقوله: {استعاذني} روي بالباءِ وروي بالنون


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume amesema: “Allâh Amesema: [ Mwenye kumfanyia uadui walii Wangu, basi Nimeshamtangazia vita. Mja Wangu hajajikurubisha Kwangu kwa jambo linalonipendeza mno kuliko Nililomfaradhia; mja Wangu ataendelea kujikurubisha Kwangu kwa Nawâfil mpaka Nimpende, Nitakapompenda, Nitakuwa ni masikizi yake anayosikizia, ni macho yake anayoonea, ni mkono wake anaoshikia, na mguu wake anaotembelea. Akiniomba Nitampa, na akiomba ulinzi Kwangu Nitamlinda. ]   [ Imepokewa na Bukhari .]


Begin typing your search above and press return to search.