0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

380. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب فضل الحب في الله والحث عَلَيهِ وإعلام الرجل من يحبه، أنه يحبه، وماذا يقول لَهُ إِذَا أعلمه


وعن البرَاءِ بن عازب – رضي الله عنهما -، عن النَّبيّ  – صلى الله عليه وسلم – أنَّهُ قَالَ في الأنصار: {لاَ يُحِبُّهُمْ إلاَّ مُؤمِنٌ، وَلاَ يُبْغِضُهُمْ إلاَّ مُنَافِقٌ، مَنْ أحَبَّهُمْ أَحَبَّهُ الله، وَمَنْ أبْغَضَهُمْ أبْغَضَهُ الله}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Al-Barâ bin ‘Âzib Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume alisema kuhusu Ansari: [Hakuna atakayewapenda ila ni Mwumini, wala hakuna atakayewachukia ila mnafiki. Anayewapenda, Allâh Atampenda, na atakayewachukia, Allâh Atamchukia.]     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim] 


Begin typing your search above and press return to search.