0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

379. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب فضل الحب في الله والحث عَلَيهِ وإعلام الرجل من يحبه، أنه يحبه، وماذا يقول لَهُ إِذَا أعلمه


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه قال -، قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -:{أنَّ رَجُلاً زَارَ أخاً لَهُ في قَرْيَةٍ أخْرَى، فَأرصَدَ اللهُ لَهُ عَلَى مَدْرَجَتِهِ مَلَكاً …} وذكر الحديث إِلَى قوله: {إنَّ الله قَدْ أحبَّكَ كَمَا أحْبَبْتَهُ فِيهِ}  رواه مسلم، وقد سبق بالباب قبله.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume ﷺ amesimulia: “Mtu mmoja alimzuru nduguye (kwa Uislamu) katika kijiji kingine. Allâh Akamwakilishia Malaika wa kumlinda njiani mwake…” akaitaja Hadîth mpaka: “…Allâh Amekupenda kama ulivyompenda kwa ajili Yake.”        [ Imepokewa na Muslim Imetangulia katika Mlango ulio tangulia] 


Begin typing your search above and press return to search.