0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

38. MLANGO WA MTU KUWAJIBIKA KUMUAMRISHA MKEWE, NA WATOTO WAKE WALIO BALEGHE…


باب وجوب أمره أهله وأولاده المميزين وسائر من في رعيته بطاعة الله تعالى ونهيهم عن المخالفة وتأديبهم ومنعهم من ارتكاب مَنْهِيٍّ عَنْهُ


قال اللَّه تعالى:  { وَأْمُرْ أَهْلَكَ بِالصَّلاةِ وَاصْطَبِرْ عَلَيْهَا}   [ طـه: 132 ]

وقال تعالى:  { يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا قُوا أَنْفُسَكُمْ وَأَهْلِيكُمْ نَاراً}   [ التحريم: 6 ]


 شرح مقدمة الباب وحديث أبي هريرةَ رضي اللَّه مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



MLANGO WA MTU KUWAJIBIKA KUMUAMRISHA MKEWE, NA WATOTO WAKE WALIO BALEGHE…


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na waamrishe watu wako kuswali, na uendelee mwenyewe kwa hayo. ]        [Surat Taha: 132]  

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Enyi mlio amini! Jilindeni nafsi zenu na ahali zenu na Moto. ]        [Surat At-Tahrim: 6]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.