0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

352. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwahishimu Ulamaa, Watu Wazima, Watu Wa Bora, Kuwatanguliza Wao Mbele Ya Wengine ….

 باب توقير العلماء والكبار وأهل الفضل وتقديمهم عَلَى غيرهم ورفع مجالسهم وإظهار مرتبتهم


وعن جابر – رضي الله عنه -: أن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم – كَانَ يَجْمَعُ بَيْنَ الرَّجُلَيْنِ مِنْ قَتْلَى أُحُد يَعْنِي في القَبْرِ، ثُمَّ يَقُولُ: {أيُّهُما أكْثَرُ أخذاً للقُرآنِ؟} فَإذَا أُشيرَ لَهُ إِلَى أحَدِهِمَا قَدَّمَهُ في اللَّحْدِ.    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka âbir Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia kuwa : “Mtume alikuwa akiwajumuisha kaburini – watu wawili wawili – katika Mashahidi waliouawa katika Vita vya Uhud; na akituuliza: “Ni yupi kati yao aliehifadhi Qur’âni nyingi zaidi?” Anapoashiriwa mmojawao, humtanguliza katika mwanandani.”    [ Imepokewa na Bukhari.]


Begin typing your search above and press return to search.