0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

353. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwahishimu Ulamaa, Watu Wazima, Watu Wa Bora, Kuwatanguliza Wao Mbele Ya Wengine ….

 باب توقير العلماء والكبار وأهل الفضل وتقديمهم عَلَى غيرهم ورفع مجالسهم وإظهار مرتبتهم


وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -: أن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {أرَانِي فِي المَنَامِ أتَسَوَّكُ بِسِوَاكٍ، فَجَاءنِي رَجُلانِ، أحَدُهُما أكبر مِنَ الآخرِ، فَنَاوَلْتُ السِّوَاكَ الأصْغَرَ، فَقِيلَ لِي: كَبِّرْ، فَدَفَعْتهُ إِلَى الأكْبَرِ مِنْهُمَا}   رواه مسلم مسنداً والبخاري تعليقاً


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abdullâh bin ‘Umar Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume alituhadithia: [Nilijiona usingizini nikipiga mswaki. Nikajiwa na watu wawili, mmojawao ni mkubwa kumliko mwengine. Nikataka kumpa mswaki yule mdogo. Nikaambiwa: “Mtangulize mkubwa.” Nikampa yule mkubwa wake]   [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.