0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

34. MLANGO WA KUWAFANYIA WEMA WANAWAKE.

BUSTANI YA WATU WEMA


قال اللَّه تعالى:  { وَعَاشِرُوهُنَّ بِالْمَعْرُوف }

وقال تعالى:  { وَلَنْ تَسْتَطِيعُوا أَنْ تَعْدِلُوا بَيْنَ النِّسَاءِ وَلَوْ حَرَصْتُمْ فَلا تَمِيلُوا كُلَّ الْمَيْلِ فَتَذَرُوهَا كَالْمُعَلَّقَةِ وَإِنْ تُصْلِحُوا وَتَتَّقُوا فَإِنَّ اللهَ كَانَ غَفُوراً رَحِيماً }


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na kaeni nao kwa wema, ]        [Suuratu An-Nissai : 19]  

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia. Kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa. Na mkisikizana na mkamchamungu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu. ]        [Sura An- Nisaai : 129]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.