June 16, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
قال اللَّه تعالى: { وَعَاشِرُوهُنَّ بِالْمَعْرُوف }
وقال تعالى: { وَلَنْ تَسْتَطِيعُوا أَنْ تَعْدِلُوا بَيْنَ النِّسَاءِ وَلَوْ حَرَصْتُمْ فَلا تَمِيلُوا كُلَّ الْمَيْلِ فَتَذَرُوهَا كَالْمُعَلَّقَةِ وَإِنْ تُصْلِحُوا وَتَتَّقُوا فَإِنَّ اللهَ كَانَ غَفُوراً رَحِيماً }
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na kaeni nao kwa wema, ] [Suuratu An-Nissai : 19]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia. Kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa. Na mkisikizana na mkamchamungu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu. ] [Sura An- Nisaai : 129]