0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

338. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uharamu Wa Kuwaasi Wazazi Na Kukata Kizazi 03

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


وعن عبد الله بن عمرو بن العاص – رضي الله عنهما -، أن رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {مِنَ الكَبَائِر شَتْمُ الرَّجُل وَالِدَيهِ !}، قالوا: يَا رَسُول الله، وَهَلْ يَشْتُمُ الرَّجُلُ وَالِدَيْهِ؟! قَالَ: {نَعَمْ، يَسُبُّ أَبَا الرَّجُلِ، فَيَسُبُّ أبَاه، وَيَسُبُّ أُمَّهُ، فَيَسُبُّ أُمَّهُ}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ

وفي رواية: { إنَّ مِنْ أكْبَرِ الكَبَائِرِ أنْ يَلْعَنَ الرَّجُلُ وَالِدَيْهِ !}، قِيلَ: يَا رَسُول الله، كَيْفَ يَلْعَنُ الرَّجُلُ وَالِدَيهِ؟! قَالَ: {يَسُبُّ أَبَا الرَّجُلِ، فَيَسُبُّ أباهُ، وَيَسُبُّ أُمَّهُ، فَيَسُبُّ أُمَّهُ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba “Mtume ﷺ amesema: [ Miongoni mwa madhambi makubwa ni mtu kuwatusi wazazi wake. Maswahaba wakauliza: Yâ Rasûlallâh, mtu anaweza kuwatusi wazazi wake? Akajibu: Ndio, atamtusi baba ya mtu naye amtusi baba yake, na atamtusi mama ya mtu naye amtusi mama yake.]   [ Imeafikiana Bukhari na Muslim]

Riwaya nyingine imesema: [Hakika katika madhambi makubwa ni mtu kuwalaani wazazi wake.] Akaulizwa: Yâ Rasûlallâh, vipi mtu atawalaani wazazi wake? Akajibu: [Atamtusi baba ya mtu naye (yule mwingine) amtusi baba yake, na atamtusi mama ya mtu naye (yule mwingine) amtusi mama yake]


Begin typing your search above and press return to search.