0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

32. MLANGO WA UBORA WA WAISLAMU WANYONGE MAFUKARA NA WASIOJULIKANA


BUSTANI YA WATU WEMA


قال تعالى: {َوَاصْبِرْ نَفْسَكَ مَعَ الَّذِينَ يَدْعُونَ رَبَّهُم بِالْغَدَاةِ وَالْعَشِيِّ يُرِيدُونَ وَجْهَهُ ۖ وَلَا تَعْدُ عَيْنَاكَ عَنْهُمْ}       الكهف:18


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na isubirishe nafsi yako pamoja na wanao muomba Mola wao Mlezi asubuhi na jioni, hali ya kuwa wanataka radhi yake. Wala macho yako yasiwaruke]
 
[Sura Al Kahf: 28


 شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.