0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

252. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubora wa Waislamu wanyonge Hadithi 01

BUSTANI YA WATU WEMA


عن حَارِثَة بْنِ وهْب رضي اللَّه عنه قال : سمعتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ : « أَلا أُخْبِرُكُمْ بِأَهْلِ الجنَّةِ ؟ كُلُّ ضَعيفٍ مُتَضَعِّفٍ لَوْ أَقْسَم عَلَى اللَّه لأبرَّه ، أَلاَ أُخْبِرُكُمْ بَأَهْلِ النَّارِ؟ كُلُّ عُتُلٍّ جَوَّاظٍ مُسْتَكْبِرٍ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Haritha bin wahb (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Nimemsikia Mtume wa Mungu ﷺ akisema: [Jee nisiwape khabari kuhusu watu wa Peponi ? Ni kila Dhaifu mwenye kudharauliwa lau ataapa kitu kwa jina la Mwenyezi Mungu basi Mwenyezi Mungu atamtimizia, Jee nisiwape khabari kuhusu watu wa Motoni ? Ni kila muovu Mwenye kukusanya mali bakhili, Mwenye kiburi]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.