0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

28. MLANGO WA WAKUSITIRI AIBU ZA WAISLAMU NA MAKATAZO YA KUZIENEZA BILA YA KUWEPO DHARURA (YA KUFANYA HIVYO)

BUSTANI YA WATU WEMA


{قال تعالى : {إِنَّ الَّذِينَ يُحِبُّونَ أَن تَشِيعَ الْفَاحِشَةُ فِي الَّذِينَ آمَنُوا لَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Kwa hakika wale wanao penda uenee uchafu kwa walio amini, watapata adhabu chungu katika dunia na Akhera.] 
 
    [Surat An-Nur: 19]


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهToa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.