BUSTANI YA WATU WEMA
{قال تعالى: {َلَّا خَيْرَ فِي كَثِيرٍ مِّن نَّجْوَاهُمْ إِلَّا مَنْ أَمَرَ بِصَدَقَةٍ أَوْ مَعْرُوفٍ أَوْ إِصْلَاحٍ بَيْنَ النَّاسِ
{قال تعالى : {َوَالصُّلْحُ خَيْرٌ
{قال تعالى : {َفَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَصْلِحُوا ذَاتَ بَيْنِكُمْ
{قال تعالى : {َإِنَّمَا الْمُؤْمِنُونَ إِخْوَةٌ فَأَصْلِحُوا بَيْنَ أَخَوَيْكُمْ
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Hakuna kheri katika mengi ya wanayo shauriana kwa siri, isipo kuwa kwa yule anaye amrisha kutoa sadaka, au kutenda mema, au kupatanisha baina ya watu.]
[An-Nisaai: 114]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na suluhu ni bora] [An-Nisaai: 128]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[
Basi mcheni Mwenyezi Mungu na suluhisheni mambo baina yenu,]
[Al Anfaal: 01]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu] [Al H’ujuraat: 10]
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله