August 14, 2022
0 Comments
.باب حق الجار والوصية بِهِ
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {يَا نِسَاء المُسْلِمَاتِ، لاَ تَحْقِرَنَّ جَارةٌ لِجَارَتِهَا وَلَوْ فِرْسِنَ شَاة} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
MLANGO WA HAKI YA JIRANI NA KUMTENDEA WEMA
Imepokewa kutoka bû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume ﷺ aliwaambia wanawake: [Enyi wanawake wa Waislamu, jirani asidharau kamwe kumpa zawadi jirani yake japo ni kwato ya mbuzi.] [Wameafikiana Bukhari na Muslim]