BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي ثُرَيَّةَ سَبْرَةَ بن معبدٍ الجُهَنِيِّ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {عَلِّمُوا الصَّبِيَّ الصَّلاةَ لِسَبْعِ سِنِينَ، وَاضْرِبُوهُ عَلَيْهَا ابْنَ عَشْرِ سِنِينَ} حديث حسن رواه أَبُو داود والترمذي، وَقالَ: {حديث حسن}
ولفظ أَبي داود: {مُرُوا الصَّبِيَّ بِالصَّلاةِ إِذَا بَلَغَ سَبْعَ سِنِينَ}
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Thurayyah, Sabrah bin Ma’bad al-Juhany Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume ﷺ amesema: [Mfundisheni mtoto kuswali akiwa ana umri wa miaka saba, mumchape atakapoiacha akifikia umri wa miaka kumi.] Hadîth hii ni Hasan, imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy na akasema: “Hadîth hii ni Hasan.”
Katika matini ya Abû Dâwûd imesema: “Mfundisheni mtoto kuswali atakapofikia umri wa miaka saba…