0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

299. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Mtu Kuwajibika Kumuamrisha Mkewe Na Watoto Wake 02

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي حفص عمر بن أَبي سلمة عبد الله بن عبد الأسدِ ربيبِ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: كُنْتُ غلاَماً في حجر رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم – وَكَانَتْ يَدي تَطِيشُ في الصَّحْفَةِ، فَقَالَ لي رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {يَا غُلامُ، سَمِّ الله تَعَالَى، وَكُلْ بيَمِينكَ، وَكُلْ مِمَّا يَلِيكَ} فَمَا زَالَتْ تِلْكَ طِعْمَتي بَعْدُ. مُتَّفَقٌ عَلَيهِ

{وَتَطِيشُ}: تدور في نواحِي الصحفة


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Hafs ‘Umar bin Abî Salamah, ‘Abdullâh bin ‘Abdil-asad Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye ni mwanakambo wa Mtume , amesimulima: “Nilikuwa kijana mdogo chini ya malezi ya Mtume , na mkono wangu ulikuwa ukizunguka-zunguka katika sinia (ya chakula). Mtume  akaniambia: “Ee kijana, taja Jina la Allâh, ule kwa mkono wako wa kulia na ule kilicho mbele yako.”  Basi huo ukawa ndio mtindo wangu wa kula baadaye”    [Wameafikiana Bukhari na Muslim].


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.