0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

298. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Mtu kuwajibika kumuamrisha Mkewe na watoto wake 01

BUSTANI YA WATU WEMA


عن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: أخذ الحسن بن علي – رضي الله عنهما – تَمْرَةً مِنْ تَمْر الصَّدَقَةِ فَجَعَلَهَا في فِيهِ، فَقَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {كَخْ كَخْ إرْمِ بِهَا، أمَا عَلِمْتَ أنَّا لا نَأكُلُ الصَّدَقَةَ !؟}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ

وفي رواية {أنَّا لا تَحِلُّ لَنَا الصَّدَقَةُ}

وقوله: {كَخْ كَخْ} يقال: بإسكان الخاء، ويقال: بكسرها مَعَ التنوين وهي كلمة زجر للصبي عن المستقذراتِ، وكان الحسن – رضي الله عنه – صبِيّاً


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “al-Hasan bin ‘Ali Radhi za Allah ziwe juu yao alichukua tende (moja) ya sadaka, akaitia mdomoni mwake. Mtume akamwambia: “Kakh! Kakh! Itupe, kwani hujui kuwa sisi hatuli sadaka?”    [Wameafikiana Bukhari na Muslim].

Riwaya nyingine imesema: [ Sadaka si halali kwetu.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.