0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

295. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kulisha Watoto 07

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {مَا مِنْ يَوْمٍ يُصْبِحُ العِبَادُ فِيهِ إلاَّ مَلَكانِ يَنْزلاَنِ، فَيقُولُ أحَدُهُمَا: اللَّهُمَّ أعْطِ مُنْفقاً خَلَفاً، وَيَقُولُ الآخَرُ: اللَّهُمَّ أعْطِ مُمْسِكاً تلَفاً}     مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume amesema: [Kila siku inayowapambaukia watu kuna Malaika wawili wanateremka, mmojawapo akiomba: ‘Ewe Mola, mwenye kutoa mpe zaidi,’ na mwengine huomba: ‘Ewe Mola, mwenye kuzuwia Mpe hasara. ]  [Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.