0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

288. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Haki Ya Mume Juu Ya Mwanamke Hadithi 08

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أسامة بن زيد – رضي الله عنهما -، عن النَّبيّ  – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {مَا تَرَكْتُ بَعْدِي فِتْنَةً هِيَ أضَرُّ عَلَى الرِّجَالِ مِنَ النِّساء}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Usâmah bin Zaid Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea: “Mtume   amesema: [Sikuwacha fitna baada yangu yalio na madhara zaidi kwa wanaume kama wanawake.]    [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.