0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

287. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Haki Ya Mume Juu Ya Mwanamke Hadithi 07

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن معاذ بن جبل – رضي الله عنه -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {لاَ تُؤْذِي امْرَأةٌ زَوْجَهَا في الدُّنْيَا إلاَّ قَالَتْ زَوْجَتُهُ مِنَ الحُورِ العِينِ لاَ تُؤذِيهِ قَاتَلكِ اللهُ ‍! فَإِنَّمَا هُوَ عِنْدَكِ دَخِيلٌ يُوشِكُ أنْ يُفَارِقَكِ إِلَيْنَا}     رواه الترمذي، وَقالَ: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Muâ‘dh bin Jabal Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea: “Mtume amesema: [Mwanamke yeyote anayemwuudhi mumewe duniani, mkewe katika hurilaini humwambia (mwanamke huyo): “Usimuudhi Allâh Akulaani! Yeye ni mgeni (tu) kwako, kwani anakaribia kukuacha na kuja kwetu.] [Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.