June 29, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن معاذ بن جبل – رضي الله عنه -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {لاَ تُؤْذِي امْرَأةٌ زَوْجَهَا في الدُّنْيَا إلاَّ قَالَتْ زَوْجَتُهُ مِنَ الحُورِ العِينِ لاَ تُؤذِيهِ قَاتَلكِ اللهُ ! فَإِنَّمَا هُوَ عِنْدَكِ دَخِيلٌ يُوشِكُ أنْ يُفَارِقَكِ إِلَيْنَا} رواه الترمذي، وَقالَ: حديث حسن
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Muâ‘dh bin Jabal Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea: “Mtume ﷺ amesema: [Mwanamke yeyote anayemwuudhi mumewe duniani, mkewe katika hurilaini humwambia (mwanamke huyo): “Usimuudhi Allâh Akulaani! Yeye ni mgeni (tu) kwako, kwani anakaribia kukuacha na kuja kwetu.] [Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]