June 29, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي علي طَلْق بن علي – رضي الله عنه -: أنَّ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إِذَا دَعَا الرَّجُلُ زَوْجَتهُ لحَاجَتِهِ فَلْتَأتِهِ وَإنْ كَانَتْ عَلَى التَّنُور}. رواه الترمذي والنسائي، وَقالَ الترمذي: {حديث حسن صحيح}
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû ‘Alî, Talq bin ‘Alî Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: [Mume atakapomwita mkewe kwa ajili ya haja yake, basi amwendee hata kama yuko katika tanuri (anaoka mikate).] [Imepokewa na Tirmidhy, na an-Nasâ-î. Tirmidhy amesema: Hadîth hii ni Sahîh Hasan.]