BUSTANI YA WATU WEMA
وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {كلكم رَاعٍ، وَكُلُّكُمْ مَسْؤُولٌ عَنْ رَعِيَّتِهِ: وَالأمِيرُ رَاعٍ، والرَّجُلُ رَاعٍ عَلَى أهْلِ بَيتِهِ، وَالمَرْأةُ رَاعِيةٌ عَلَى بَيْتِ زَوْجها وَوَلَدهِ، فَكُلُّكُمْ رَاعٍ، وَكُلُّكُمْ مَسْؤُولٌ عَنْ رَعِيَّتِهِ} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Umar Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: [Nyote ni wachunga na kila mmoja wenu ataulizwa kuhusu alichokichunga. Kiongozi ni mchunga, na mume ni mchunga juu ya mkewe, na mke ni mchunga juu ya nyumba ya mumewe na watoto wake; kwa hivyo nyote ni wachunga na kila mmoja wenu ataulizwa kuhusu alichokichunga.] [Wameafikiana Bukhari na Muslim]