0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

279. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wanawake Hadithi 07

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن إياس بن عبد الله بن أَبي ذباب – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {لاَ تَضْرِبُوا إمَاء الله} فجاء عُمَرُ – رضي الله عنه – إِلَى رسولِ الله – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالَ: ذَئِرْنَ النِّسَاءُ عَلَى أزْوَاجِهِنَّ، فَرَخَّصَ في ضَرْبِهِنَّ، فَأطَافَ بآلِ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم – نِسَاءٌ كَثيرٌ يَشْكُونَ أزْواجَهُنَّ، فَقَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {لَقَدْ أطَافَ بِآلِ بَيتِ مُحَمَّدٍ نِسَاءٌ كثيرٌ يَشْكُونَ أزْوَاجَهُنَّ لَيْسَ أولَئكَ بخيَارِكُمْ}    رواه أَبُو داود بإسناد صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Yâs bin ‘Abdullâh bin Abî Dhubâb Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume alisema: “Msiwapige wajakazi wa Allâh (wanawake).” ‘Umar Radhi za Allah ziwe juu yake akamwendea Mtume , akamwambia: “Wanawake wamekuwa wajasiri juu ya waume zao.” Mtume akaruhusu wawachape. Wanawake wengi wakawazunguka wakeze Mtume wakiwashtakia waume zao (kwa kuwapiga). Mtume akasema: “Wanawake wengi wamewajilia aali za nyumba ya Muhammad wakiwashtakia waume zao, (waume) hao si bora miongoni mwenu.”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh.]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.